"Ngobho Makumbusho ni platform inayochipukia kwa kasi ikiwa na makao yake makuu Kahama, Tanzania. Tunajikita katika kutengeneza daraja kati ya biashara na wateja kupitia maudhui ya burudani yanayopendwa na watu wengi. Ikiwa unatafuta kufanya 'branding' au kutangaza bidhaa yako kwa jamii inayopenda sanaa na tamaduni, Ngobho Makumbusho ndio mshirika wako sahihi."
"Karibuni —nyumbani kwa burudani, mila, na muziki wa kipekee. Tunakuletea kazi bora kutoka kwa wasanii wa nyumbani na zile za 'kitambo' unazozipenda. 🎶✨ Ngobho makumbusho
Tunasaidia wasanii kusambaza audio na video zao. "Ngobho Makumbusho ni platform inayochipukia kwa kasi ikiwa